1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.11.2018 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S16 Novemba 2018

Nchini Uingereza kumekuwa na vuta nikuvute ya jaribio la kujenga ushawishi bungeni wa makubaliano ya kujitoa kwa nchi hiyo katika Umoja wa Ulaya, mchakato unaojulikana kama Brexit// Asasi za kiraia pamoja na wanasiasa nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wameazimia kudumisha amani wakati na hata pia baada ya uchaguzi mkuu mwezi ujao.

https://p.dw.com/p/38Mbg