16.11.2016 Matangazo ya asubuhi | Habari za Ulimwengu | DW | 16.11.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

16.11.2016 Matangazo ya asubuhi

Shirika la Ujasusi nchini Ujerumani limeonya kwamba kundi linalojiita dola la Kiislamu IS linaingia barani ulaya kupitia makundi ya wakimbizi// Rais wa jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila alilihutubia taifa na kuahidi kuheshimu katiba ya nchi hiyo// Gambia ni nchi ya hivi Karibuni kabisa kufikisha rasmi barua yake katika Umoja wa Mataifa ya kutaka kujiondoa katika mahakama ya ICC.

Sikiliza sauti 52:00