Kwa sababu za kiusalama, maandamano yamepigwa marufuku nchini Afghanistan kuanzia sasa na kuendelea+++Hatua zilizochukuliwa ili kupambana na janga la Covid 19 zimesababisha kuongezeka kwa mimba za utotoni barani Afrika+++Wanavijiji nchini Kenya wameanza kutumia ujuzi wa kitamaduni kuokoa miti na maji katika maeneo wanayoishi.