16.09.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 16.09.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

16.09.2019 Matangazo ya Jioni

Johnson na Junker wameshindwa kufikia makubaliano yoyote kuhusu mpango wa Uingereza kujitowa katika Umoja wa Ulaya/ Erdogan amewakaribisha wenzake wa Iran na Urusi katika mkutano wao wa kujadili mgogoro wa Syria/ Mawaziri wa mambo ya nje wa Rwanda na Uganda wakutana Kigali/ Hali ya kisiasa nchini Kenya

Sikiliza sauti 59:59