1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.08.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S16 Agosti 2021

Safari za ndege zafungwa Afghanistan/ Mataifa yatolea kauli hali ya Afghanistan/ Hakainde Hichilema ashinda uchaguzi wa rais Zambia/ Jeshi la Congo limefanikiwa kuthibiti vijiji kadhaa vya wilaya ya Fizi vilivyokuwa chini ya waasi wa Twirwaneho na Gumino/ Uganda: Matamshi ya Museveni ya kuvishutumu vitendo vya mateso vinavyofanywa na vyombo mbalimbali vya usalama yamepolekewa kwa maoni mseto

https://p.dw.com/p/3z2lT