1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.07.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S16 Julai 2020

Tanzania - Bernard Membe leo ametambulishwa rasmi ndani ya chama cha upinzani cha ACT-Wazalendo jijini Dar es Salaam// Mahakama ya Afrika yaruhusu kupingwa matokeo ya urais Tanzania// Waziri Mkuu wa Tunisia, Elyes Fakhfakh amejiuzulu hapo jana takriban miezi mitano baada ya kuchukua uongozi// Akaunti kadhaa za mtandao wa Twitter za viongozi mashuhuri ulimwenguni zimekumbwa na tukio la udukuzio.

https://p.dw.com/p/3fPNv