Von der Leyen akamilisha juhudi za kuwania ofisi ya juu zaidi Umoja wa Ulaya/ Watoto milioni 20 hawapati chanjo ya magonjwa hatari/ Ripoti: Vifo vinanvyosababishwa na UKIMWI vyapungua/ Nairobi: Warsha maalum inayojadili maswala kuhusu mchato wa amani na demokrasia kwa nchi za ukanda wa Maziwa Makuu/ Mataifa ya Afrika yanataraji kuketi katika mkutano wa pamoja ambao kujadili masuala ya korosho