1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.04.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S16 Aprili 2019

Rais Emmanuel Macron ameahidi kulijenga upya kanisa kuu katoliki la Notre Dame mjini Paris ambalo jana jioni lilishika moto ulio unguza sehemu ya jengo// Harakati za maandamano bado zinaendelea nchini Sudan leo ikiwa ni siku ya 11 ya waandamanaji kupiga kambi nje ya makao makuu ya jeshi wakilishinikiza jeshi kukabidhi madaraka kwa utawala wa kiraia.

https://p.dw.com/p/3GsUb