16.01.2019 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 16.01.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

16.01.2019 Matangazo ya Jioni

Wakenya kutoka matabaka mbalimbali wameelezea kufadhaika kwao kufuatia shambulizi lililotokea katika Hoteli ya kifahari ya Dusit jini Nairobi//Mshambuliaji mmoja wa kujitoa mhanga amewashambulia askari wa kigeni waliokuwa wanapiga doria ya kijeshi katika mji wa kaskazini mwa Syria wa Manbij

Sikiliza sauti 60:00