1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.11.2016 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S15 Novemba 2016

Frank-Walter Steinmeier amependekezwa kwa pamoja na vyama vya Christian Democratic Union CDU, Christian Social Union CSU na Social Democratic SPD kuwa mgombea wa nafasi ya urais// Kote barani Afrika misimamo ya rais mteule wa Marekani Donald Trump, imeleta wasiwasi mkubwa.

https://p.dw.com/p/2Si7l