15.10.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 15.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

15.10.2021 Matangazo ya Jioni

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, wahukumiwa kigungo cha miaka 30 jela+++Mume wa mwanariadha wa Kenya Agnes Tirop akamatwa na polisi+++Takribani watu 32 wameuawa katika shambulizi lililotokea kwenye msikiti kusini mwa Afghanistan+++Ujerumani: Scholz akubaliana na Kijani, FDP kuanza mazungumzo ya kuunda serikali.

Sikiliza sauti 60:00