15.10.2021 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 15.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

15.10.2021 Matangazo ya Asubuhi

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ina sifa ya kuwa moja ya nchi zinazokabiliwa na ufisadi, ikishika nafasi ya 170 kati ya mataifa 180+++Marekani imeazimia kurejea katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa miaka mitatu na nusu tangu utawala wa Rais Donald Trump kuiondoa +++Uturuki imeongeza mauzo yake ya ndege zisizo na rubani zenye silaha kwa kuingia mikataba na Morocco na Ethiopia.

Sikiliza sauti 52:00