1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.09.2019 Asubuhi: Taarifa ya Habari

V2 / S12S15 Septemba 2019

Saudi Arabia imesitisha kwa muda uchimbaji mafuta katika vituo viwili ambavyo vimeshambuliwa. // Raia wa Tunisia kufanya duru ya kwanza ya uchaguzi huru wa rais leo. //Viongozi wa nchi za Afrika magharibi, wameahidi kutenga dola bilioni moja kupambana na tishio la kuongezeka kwa waanamgambo wa misimamo mikali ya dini.

https://p.dw.com/p/3PcnS