1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.09.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S15 Septemba 2017

Watu wapatao 22 wamejeruhiwa kutokana na mlipuko uliotokea kwenye kituo cha treni cha chini ya ardhi cha Parsons Green katika mjini London// Korea Kaskazini imefanya jaribio lingine la kombora lililopita kaskazini mwa Japan kabla ya kutua katika bahari ya Pacific, na kusababisha ukosoaji kutoka mataifa ya kanda hiyo.

https://p.dw.com/p/2k4OP