1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.07.2020 Matangazo ya Jioni

TSA / S08S15 Julai 2020

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dokta Hussein Ali Mwinyi leo amepokelewa kwa shangwe visiwani humo// Qatar imeibuka na ushindi katika mvutano wa kisheria, katika juhudi zake za kumaliza mzozo wa muda mrefu wa kufungiwa anga na majirani zake wa Kiarabu// India na Umoja wa Ulaya zitajadili njia za kuongeza ushirikiano wa kiuchumi.

https://p.dw.com/p/3fNPl