15.07.2019 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 15.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

15.07.2019 Matangazo ya Mchana

Mataifa ya Ulaya yataka suluhisho mgogoro wa Iran na Marekani/ Hali ya kisiasa nchini Tanzania/ Kongo: Mvutano waibuka ndani ya vuguvugu la FCC kuhusu uteuzi wa mgombea spika wa seneti kutoka vuguvugu hilo/ Marekani: Hofu imetawala kwa wahamiaji wanaoishi katika nchi hiyo kufuatia kutangazwa msako wa nchi nzima wa kuwatafuta wahamiaji wanaoishi bila kibali

Sikiliza sauti 60:00