1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.06.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S15 Juni 2022

Jeshi la polisi nchini Tanzania limeonya kuwa litawasaka wale wanaodaiwa kuchochea uvunjivu wa amani katika eneo la Loliondo+++Vyama viwili vya upinzani visiwani Zanzibar vimetoa tamko la kukemea tukio la kupigwa na kuumizwa kwa kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM Baraka Shamte+++Mawaziri wa ulinzi wa NATO wajadili mzozo wa Ukraine +++Mkutano wa WTO warefushwa ili kufikia maelewano.

https://p.dw.com/p/4CkiP