1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.04.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S15 Aprili 2021

Nchi za NATO zakubaliana kuondoka Afghanistan// DR Congo- Wanawake wa wilaya ya Shabunda katika mkoa wa Kivu kusini wanatoa malalamiko kuhusu ongezeko la hali ya ubakaji na ukosefu wa usalama kwa ujumla// Vyombo vya usalama nchini Rwanda vimetangaza kuwakamata watu 66 ndani ya juma moja lililopita wakati nchi hiyo ilipokuwa kwenye kipindi cha maombolezo ya mauaji ya kimbari.

https://p.dw.com/p/3s4AZ