1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.04.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S15 Januari 2021

Matokeo ya awali ya Uchaguzi wa rais uliofanyika jana nchini Uganda yameanza kutolewa usiku wa kuamkia leo na rais Yoweri Museveni anaongoza// Janga la COVID-19 sio tu limepunguza umakini wa vyombo vya habari kuanzia mizozo ya kibinadamu ulimwenguni, lakini pia imeifanya hali kuwa mbaya zaidi// Mashirika kadhaa ulimwenguni yanaendelea kukata uhusiano na rais wa Marekani Donald Trump.

https://p.dw.com/p/3nx0I