1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.03.2016 Matangazo ya Mchana

TSA / S09S15 Machi 2016

Putin aamrisha jeshi lake liondoke Syria// Ugiriki: Mamia ya wahamiaji wameondoka katika kambi ya muda na kuingia Macedonia baada ya kukwepa uzio wa mpakani uliowekwa kuwazuwiya// Bunge la Myanmar limemchagua Htin Kyaw kuwa rais mpya wa nchi hiyo // Matokeo ya watu waliopigwa na kuteswa vibaya katika visiwa vya Zanzibar yanasemekana kupamba moto wakati uchaguzi wa marudio ukikaribia kufanyika

https://p.dw.com/p/1IDCO