Uganda- Bobi Wine adai kushinda wakati Museveni akitangazwa kuongoza// Maoni: Uchaguzi wa Uganda ni fursa iliyopotea// Waasi kundi la ADF linaloendesha harakati zake mashariki mwa Congo, jana wameshambulia kijiji cha Masini katika wilaya ya Irumu na kuwauwa Mbilikimo 46// Rais mteule wa Marekani, Joe Biden azindua mpango wa uokozi wa dola trilioni 1.9 kwa ajili ya kuufufua uchumi.