Mjumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa leo amekutana na familia za askari wa Tanzania waliouwa katika operesheni ya amani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo// Kamati ya Baraza la Seneti la Marekani inayoshughulika na mambo ya nje imemuandikia barua Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo kuelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya kisiasa nchini Tanzania.