Mvutano wa chini chini unaozidi kupanuka baina ya mataifa jirani ya Afrika Mashariki Rwanda, Burundi na Uganda, unaelezwa kuwa huenda ukaleta athari kubwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki// Wapendwa Waingereza, Kwa kweli mnao muda wa kutosha kwa yote haya? Mambo yalivyo hivi sasa mtaondolewa kutoka Umoja wa Ulaya bila ya kupata makubaliano katika muda wa wiki kadhaa.