Mawaziri wa masuala ya nje wa Umoja wa Ulaya leo hii wametafuta namna ya kuwa na msimamo wa pamoja, wakati ambapo wanajadili mahusiano ya umoja huo na Uturuki// Muungano wa vyama vya kihafidhina vya CDU na CSU umetangaza kumuunga mkono Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, kuchukuwa nafasi ya Rais Joachim Gauck.