1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.10.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S14 Oktoba 2016

Watanzania leo wanaadhimisha kumbukumbu ya miaka 17 tangu kufariki kwa muasisi na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere// Syria-Mashambulizi mapya zaidi yameendelea kufanywa katika mji wa Aleppo// Marekani-Kampeni za kinyang’anyiro cha kuingia Ikulu ya White House zinaendelea kupamba moto// Thailand- Maombolezi ya kitaifa ya mfalme Bhumibol Adulyadej.

https://p.dw.com/p/2RDme