Timu ya waandishi wa idhaa za Afrika za DW inaendelea na safari zake za barabarani na mara hii timu hiyo ipo mashariki mwa Ujerumani katika chuo kikuu cha Leipzig// Shirika la elimu, sayansi na utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO linasema kati ya watu milioni 750 duniani wasiojua kusoma na kuandika asilimia 63 ni wanawake.