14.08.2019 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 14.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

14.08.2019 Matangazo ya Mchana

Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch, limesema waathirika wa shambulio lililofanyika katika kambi moja ya wakimbizi nchini Burundi pamoja na familia zao, bado wanasubiri haki na fidia miaka 15 baada ya tukio hilo// Wanasiasa nchini Kenya wanaendelea kurushiana maneno kuhusu mageuzi ya katiba na watakaowania urais mwaka 2022.

Sikiliza sauti 60:00