1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.08.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S14 Agosti 2019

Kambi ya jeshi la serikali imehujumiwa kwa risasi na bomu lililotegwa ndani ya gari kusini mwa Somalia// Chama cha upinzani cha CNDD cha nchini Burundi kimetishia kususia uchaguzi ujao nchini humo// Viongozi wa dini ya kiisilamu katika kaunti ya Mombasa, Kenya wanapinga mipango ya serikali ya kutaka makasha ya mizigo inayoingia katika bandari ya Mombasa kubebwa na kusafiriswha kupitia reli.

https://p.dw.com/p/3NtzT