14.08.2019 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 14.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

14.08.2019 Matangazo ya Asubuhi

Rais Ramaphosa wa Afrika Kusini, leo anaanza ziara ya siku mbili nchini Tanzania/ Jumuiya ya afrika mashariki imekanusha taarifa zilizochapishwa kwenye gazeti la wiki "The East African" linalochapishwa nchini Kenya, zikileza kwamba jumuiya hiyo inapitia kipindi kigumu cha uchumi/ Wazazi watalazimika kulipia vyeti vya kuzaliwa vya watoto wao baada ya mchakato wa kuvipata bila malipo kufikia kikomo.

Sikiliza sauti 51:59