1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.08.2015 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S09S14 Agosti 2015

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Wachambuzi wanaonya kuwa Burundi inakumbwa na aina tofauti ya vurugu// Rwanda imesema itahitaji maelezo zaidi kutoka kwa Uingereza baada ya kuachiwa huru kwa mkuu wake wa idara ya Ujasusi Luteni Generali Karake Karenzi// Hatua ya China ya kuishusha thamani ya sarafu yake ya Yuan mara mbili mfululizo imesababisha misukosuko kwenye masoko ya hisa duniani kote

https://p.dw.com/p/1GFTN