14.07.2020 Matangazo ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 14.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

14.07.2020 Matangazo ya Asubuhi

Mateso, matumizi ya nguvu, utumwa wa ngono: Orodha ya uhalifu , aliofanya Al-Hassan mwaka 2012 katika mji wa kale wa Timbuktu ni ndefu// Utafiti unaonyesha kuwa asilimia 60 ya Wajerumani ndio walio tayari kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa Covid 19// Shilingi ya Kenya imepoteza thamani kulinganisha na dola ya Marekani.

Sikiliza sauti 51:59