Viongozi duniani wameendelea kumtumia salamu za pongezi waziri mkuu mpya wa Israel Naftali Bennett.
Rais Joe Biden amewasili Brussels kuhudhuria mkutano wa kilele wa Jumuiya ya NATO.
Kesi inayomkabili Aung San Su Kyi inaanza kusikilizwa leo nchini Myanmar.