1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.03.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S14 Machi 2019

Wataalam na wanasayansi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa wanaonya kwamba maisha ya binadamu na viumbe vyote kwa jumla huenda yakawa katika hatari ya kuangamia //Bunge la Uingereza linajiandaa kupiga kura leo kuamua kuhusu iwapo nchi hiyo inaweza kuongezewa muda wa mchakato wa kujitoa kwenye Umoja wa ulaya

https://p.dw.com/p/3F4Sy