1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.02.2021 - Matangazo ya Jioni

14 Februari 2021

Liberia yatangaza kuchukua tahadhari kfuuatia mlipuko wa Ebola nchini Guinea. Rais wa Ufaransa amesema atapigia upatu Afrika kupatiwa chanjo ya kutosha dhidi ya COVID-19 kwenye mkutano wa G7. Ujerumani yaongeza vizuizi vya kupambana na COVID-19 kwenye mipaka na nchi jirani

https://p.dw.com/p/3pLew