14.01.2022 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 14.01.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

14.01.2022 Matangazo ya Asubuhi

Afisa wa zamani wa kijasusi wa Syria ahukumiwa kifungo cha maisha jela nchini Ujerumani kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu+++Serikali ya Marekani imeridhia kuachiwa huru kwa wafungwa watano zaidi kutoka gereza la kijeshi la Guantanamo Bay+++Serikali ya Kenya imetangaza nia yake ya kuvunjilia mbali kamati za amani jimboni Marsabit.

Sikiliza sauti 51:59