14.01.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 14.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

14.01.2021 Matangazo ya Mchana

Raia wa Uganda wamejitokeza kwa wingi kupiga kura zao leo katika uchaguzi unaotarajiwa kuwa na ushindani mkali ambapo rais wa muda mrefu Yoweri Museveni anapambana na mwanamuziki aliyegeuka kuwa mwanasiasa Bobi Wine// Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa Marekani, kuanzishiwa mara mbili mchakato wa kibunge wenye lengo la kumuondoa madarakani.

Sikiliza sauti 60:00