Raia wa Uganda wanapiga kura leo katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kutoa ushindani mkali kwa utawala wa rais Yoweri Museveni// Wasifu wa rais Yoweri Museveni ambaye ameshatawala kwa muda wa takriban miaka 35// Mwanamuziki Bobi Wine ambaye jina lake halisi ni Robert Kyagulanyi na mpinzani mkuu wa Rais Yoweri Museveni anataka kuingia Ikulu.