13.12.2017 Matangazo ya Jioni | Habari za Ulimwengu | DW | 13.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

13.12.2017 Matangazo ya Jioni

Viongozi wakuu wa mataifa ya Jumuiya ya Nchi za Kiislamu, OIC, wameitaka Marekani kufuta mara moja uamuzi wake wa kuutambua mji wa Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel// Rais wa Ufaransa Emmanuel Macro amesema Saudi Arabia imeahidi kima cha dola milioni 100 kwaajili ya kikosi cha kupambana na ugaidi katika Ukanda wa Sahel Magharibi mwa Afrika, kinachojumuisha nchi tano.

Sikiliza sauti 60:00