1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.12.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S13 Desemba 2016

Ujumbe wa Umoja wa Afrika ukioongozwa na rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf umewasili Gambia// Mazungumzo ya kisiasa baina ya upinzani na vyama tawala huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo yameanza tena hii leo// Chama cha wananchi CUF leo kimekutana kwa dharura huku kikiwa na ajenda moja ya kufanya maandalizi ya uchaguzi mdogo.

https://p.dw.com/p/2UDYu