13.11.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 13.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

13.11.2019 Matangazo ya Jioni

Mchakato wa uchunguzi dhidi ya Trump wafanyika hadharani/ Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameahidi kumsaidia kijeshi rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika kupambana na makundi ya wenye silaha nchini humo> Mahojiano/ Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na idadi ya watu duniani, UNFPA limeitisha kongamano la kimataifa mjini Nairobi

Sikiliza sauti 60:00