Familia ya rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe imekubali kiongozi huyo azikwe kwenye makaburi ya mashujaa wa kitaifa mjini Harare// Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limerejelea tena wito wake kutaka usitishwaji wa mapigano nchini Libya// Viongozi wa kidini katika jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wameanzisha kampeni mpya ya kuwahamasisha raia dhidi ya ugonjwa wa Ebola.