1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.09.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S13 Septemba 2019

"Mdahalo wa kitaifa" umeamuliwa na rais Paul Biya ili kukomesha mzozo wa umwagaji damu katika majimbo mawili ya Cameroon// Wizara ya fedha nchini Kenya inaandaa hazina maalum ya uratibu wa fedha za wizi pindi zinaporejeshwa kwenye hazina ya kitaifa// Kwa raia wengi wa Tunisia, umaskini, ukosefu wa ajira na huduma duni, vimeondoa imani katika mchakato mpya wa kisiasa wa kidemokrasia nchini humo.

https://p.dw.com/p/3PWwH