1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.09.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S13 Septemba 2016

Serikali ya Tanzania leo imekutana na mabalozi wa kigeni pamoja na jamii ya wafanyabiashara kwa lengo la kuwafahamisha madhara yaliliyosababishwa na tetemeko la ardhi/ Viongozi wa Sudan Kusini wanafaidika na vita> Mahojiano/ Msumbiji: Mazungumzo ya kusaka amani/ Mzozo wa kidiplomasia unaonekana kuzuka kati ya Luxembourg na Hungary

https://p.dw.com/p/1K1WA