Leo Tanzania imepokea uenyekiti wa baraza la mawaziri wa jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa Africa SADC kutoka kwa Namibia// Jinamizi la ufisadi limeiandama Kenya kwa muda mrefu. Hata hivyo, katika kaunti ya Makueni, iliopo eneo la Ukambani, kusini mwa Kenya, taswira ya matumaini inatawala eneo hilo.