Mzozo kati ya Canada na China umesalia kuwa maumivu ya kichwa yasiyokwisha kwa waziri mkuu mliberali Justin Trudeau// Mataifa kote ulimwenguni yanatatizika na jinsi ya kuwachukulia raia wake waliosafiri kujiunga na kundi la dola la kiislamu na kurejea katika mataifa hayo// Ukipata ujauzito, hauwezi kurudi shule tena- Sheria ya Elimu nchini Tanzania.