1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.07.2018 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S13 Julai 2018

Baada ya kuwatikisa viongozi wa Jumuiya ya NATO mjini Brussels hapo jana, Rais wa Marekani Donald Trump alielekea moja kwa moja hadi London nchini Uingereza ambako leo anatarajiwa kuwa na mikutano// Mwishoni mwa mwezi huu wa Julai viongozi wa mataifa matano yanayoinukia-mashuhuri kwa jina la mataifa ya BRICS, watakutana katika mkutano wao wa kumi wa kilele nchini Afrika Kusini.

https://p.dw.com/p/31NPv