Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amesema nchi yake haitalitambua jimbo la Crimea kuwa ni sehemu ya Urusi+++Polisi wa Israel wamekabiliana na waombolezaji wa Kipalestina huko Jerusalem hii leo katika shughuli ya mazishi ya mwandishi habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh+++Jamii ya Mbilikimo DRC yavamia vijiji na kujeruhi watu.