1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.05.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S13 Mei 2020

Zaidi ya watu 160,000 wamekufa kutokana na janga la virusi vya corona barani Ulaya/ Pompeo na Netanyahu wanakutana mjini Jerusalem kujadili mpango wa Israel wa kutaka kuyatwaa maeneo zaidi ya Ukingo wa Magharibi/ Congo: Rais Tshisekedi amemuondoa kwa muda mkuu wake wa shughuli za ikulu Vital Kamerhe> Mahojiano/ Taliban laonya kujibu kwa mashambulizi iwapo litalengwa

https://p.dw.com/p/3cB4G