Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema mkwamo katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Syria unazidisha taharuki// Wanajeshi wa Israel wamewapiga risasi na kuwajeruhi wapalestina zaidi ya100 wakati wa maandamano// Serikali ya Uganda imethibitisha kukubali ombi la Israel kutoa hifadhi kwa wakimbizi 500 kutoka Sudan and Eritrea.