1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.04.2018 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S13 Aprili 2018

Kuonekana kwa nadra kwa Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria mbele ya hadhara kumechochea minong'ono kwamba atagombea katika awamu ya tano kwenye uchaguzi wa mwakani// Uamuzi wa Rais Mohammed Buhari wa kuwania muhula wa pili umeanzisha kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais nchini Nigeria.

https://p.dw.com/p/2vyGO